Genesis 49:6
Mimi na nisiingie katika baraza lao, 2 nami nisiunganike katika kusanyiko lao, 1 kwa kuwa wamewaua watu katika hasira yao, 2 walikata mishipa ya miguu ya mafahali 2 kama walivyopenda. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5“Simeoni na Lawi ni wana ndugu: 2 panga zao ni silaha za jeuri. 1
Cross References
Genesis 34:30Kisha Yakobo akawaambia Simeoni na Lawi, “Mmeleta taabu kwangu kwa kunifanya ninuke kama uvundo kwa Wakanaani na Waperizi, watu waishio katika nchi hii. Sisi ni wachache, kama wakiunganisha nguvu zao dhidi yangu na kunishambulia, mimi na nyumba yangu tutaangamizwa.”
Judges 5:21Mto wa Kishoni uliwasomba, 2 ule mto wa zamani, mto wa Kishoni. 1 Songa mbele, ee nafsi yangu, 2 kwa ujasiri! 1
Psalms 5:10Uwatangaze kuwa wenye hatia, Ee Mungu! 2 Hila zao ziwe anguko lao wenyewe. 1 Wafukuzie mbali kwa sababu ya dhambi zao nyingi, 2 kwa kuwa wamekuasi wewe. 1
Psalms 26:4Siketi pamoja na watu wadanganyifu, 2 wala siandamani na wanafiki, 1
Psalms 28:3Usiniburute pamoja na waovu, 2 pamoja na hao watendao mabaya, 1 ambao huzungumza na jirani zao maneno mazuri, 2 lakini mioyoni mwao wameficha chuki. 1
Psalms 42:5Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? 2 Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? 1 Weka tumaini lako kwa Mungu, 2 kwa sababu bado nitamsifu, 2 Mwokozi wangu na