Genesis 49:7
Hasira yao na ilaaniwe, kwa kuwa ni kali mno, 2 nayo ghadhabu yao ni ya ukatili! 1 Nitawatawanya katika Yakobo 2 Na kuwasambaza katika Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 19:1Kura ya pili ikaangukia kabila la Simeoni, ukoo kwa ukoo. Urithi wao ulikuwa ndani ya eneo la Yuda.
Joshua 21:1Basi viongozi wa jamaa ya Walawi, wakamwendea kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa jamaa nyingine za makabila ya Israeli
Joshua 21:8Kwa hiyo Waisraeli wakawapa Walawi miji hii pamoja na sehemu zake za malisho, kama vile Bwana alivyokuwa ameamuru kupitia kwa Mose.
2 Samuel 13:22Absalomu hakusema neno lolote na Amnoni, likiwa zuri au baya, kwa kuwa alimchukia Amnoni kwa sababu alikuwa amemtia aibu Tamari, dada yake. 1 Absalomu Amuua Amnoni
1 Chronicles 4:39wakaenea mpaka kwenye viunga vya Gedori kuelekea mashariki mwa bonde wakitafuta malisho kwa ajili ya mifugo yao.
Proverbs 26:24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, 2 lakini moyoni mwake huficha udanganyifu. 1