Judges 5:21
Mto wa Kishoni uliwasomba, 2 ule mto wa zamani, mto wa Kishoni. 1 Songa mbele, ee nafsi yangu, 2 kwa ujasiri! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Kutoka mbinguni nyota zilipigana, 2 nyota kutoka njia zake 2 zilipigana na Sisera. 1
22Ndipo kwato za farasi zikafanya mshindo: 2 farasi wake wenye nguvu 2 huenda mbio kwa kurukaruka. 1
Cross References
Genesis 49:18“Ee Bwana, nautafuta wokovu wako. 1
Judges 4:13Sisera akakusanya pamoja magari yake yote 600 ya chuma na watu wote waliokuwa pamoja naye, kuanzia Haroshethi-Hagoyimu mpaka Mto wa Kishoni.
Psalms 44:5Kwa uwezo wako tunawasukuma nyuma watesi wetu; 2 kwa jina lako tunawakanyaga adui zetu. 1
Psalms 83:10ambao waliangamia huko Endori 2 na wakawa kama takataka juu ya nchi. 1
Micah 7:10Kisha adui yangu ataliona 2 naye atafunikwa na aibu, 1 yule aliyeniambia, 2 “Yu wapi Bwana Mungu wako?” 1 Macho yangu yataona kuanguka kwake, 2 hata sasa atakanyagwa chini ya mguu 2 kama tope barabarani. 1