Genesis 9:29
Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And all the days of Noah were nine hundred and fifty years: and he died.
In Context
28Baada ya gharika Noa aliishi miaka 350.
Cross References
Genesis 5:20Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa.
Genesis 5:32Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.
Psalms 90:10Siku zetu za kuishi ni miaka sabini, 2 au miaka themanini ikiwa tuna nguvu, 2 lakini yote ni ya shida na taabu, 2 nazo zapita haraka, nasi twatoweka. 1