The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 50 › Genesis 50:21

Genesis 50:21

Hivyo basi, msiogope. Mimi nitawatunza ninyi nyote pamoja na watoto wenu.” Akawahakikishia na kusema nao kwa wema. 1 Kifo Cha Yosefu

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now therefore fear ye not: I will nourish you, and your little ones. And he comforted them, and spake kindly unto them.

In Context

20Mlikusudia kunidhuru, lakini Mungu alikusudia mema, ili litimie hili linalofanyika sasa, kuokoa maisha ya watu wengi.

22Yosefu akakaa katika nchi ya Misri, yeye pamoja na jamaa yote ya baba yake. Akaishi miaka 110,

Read all of Genesis 50

Cross References

Genesis 34:3Moyo wake ukavutwa sana kwa Dina binti Yakobo, akampenda huyu msichana na akazungumza naye kwa kumbembeleza.

Genesis 45:10Nawe utaishi katika nchi ya Gosheni na kuwa karibu nami, wewe, watoto wako na wajukuu wako, makundi yako ya kondoo, mbuzi na ngʼombe, pamoja na vyote ulivyo navyo.

Genesis 47:12Pia Yosefu akampa baba yake, na ndugu zake na wote wa nyumbani mwa baba yake vyakula, kwa kulingana na hesabu ya watoto wao. 1 Uongozi Wa Yosefu Wakati Wa Njaa

Isaiah 40:2Sema na Yerusalemu kwa upole, 2 umtangazie 1 kwamba kazi yake ngumu imekamilika, 2 kwamba dhambi yake imefanyiwa fidia, 1 kwamba amepokea kutoka mkononi mwa Bwana 2 maradufu kwa ajili ya dhambi zake zote. 1

Matthew 6:14Kwa kuwa kama mkiwasamehe watu wengine wanapowakosea, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi pia.

1 Thessalonians 5:15Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 50:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 50:20Genesis 50Genesis 50:22 →