Isaiah 40:2
Sema na Yerusalemu kwa upole, 2 umtangazie 1 kwamba kazi yake ngumu imekamilika, 2 kwamba dhambi yake imefanyiwa fidia, 1 kwamba amepokea kutoka mkononi mwa Bwana 2 maradufu kwa ajili ya dhambi zake zote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1
Cross References
Exodus 22:3lakini jambo hilo likitokea wakati jua limechomoza, huyo mtu atakuwa na hatia ya kumwaga damu. “Mwizi huyo sharti alipe, lakini kama hana kitu, lazima auzwe ili alipe kwa ajili ya wizi wake.
Job 42:10Baada ya Ayubu kuwaombea rafiki zake, Bwana akamwondoa kwenye uteka, akamfanikisha tena naye akampa mara mbili ya vile alivyokuwa navyo hapo mwanzoni.
Psalms 85:3Uliweka kando ghadhabu yako yote 2 na umegeuka na kuiacha hasira yako kali. 1
Psalms 102:14Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako, 2 vumbi lake lenyewe hulionea huruma. 1
Song of Solomon 2:11Tazama! Wakati wa masika umepita, 2 mvua imekwisha na ikapita. 1
Isaiah 14:3Katika siku Bwana atakapokuondolea mateso, udhia na utumwa wa kikatili,