The Bible Software
bible.softwareMwanzoMwanzo 6 › Mwanzo 6:15

Mwanzo 6:15

Hivi ndivyo utakavyoitengeneza: Safina iwe na urefu wa dhiraa 300, + 6:15 Dhiraa 300 ni sawa na mita 135. upana wake dhiraa hamsini + 6:15 Dhiraa 50 ni sawa na mita 22:5. na kimo chake dhiraa thelathini. + 6:15 Dhiraa 30 ni sawa na mita 13:5.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And this is the fashion which thou shalt make it of: The length of the ark shall be three hundred cubits, the breadth of it fifty cubits, and the height of it thirty cubits.

In Context

14Kwa hiyo jitengenezee safina kubwa kwa mbao za mvinje, tengeneza vyumba ndani yake na uipake lami ndani na nje.

16Itengenezee paa na umalizie safina kwa kuacha nafasi ya dhiraa moja + 6:16 Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45. juu. Weka mlango ubavuni mwa safina, na uifanye ya ghorofa ya chini, ya kati na ya juu.

Read all of Mwanzo 6

Cross References

Genesis 7:20Maji yakaendelea kujaa yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano. + 7:20 Dhiraa 15 ni sawa na mita 7.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mwanzo 6:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mwanzo 6:14Mwanzo 6Mwanzo 6:16 →