Genesis 7:20
Maji yakaendelea kujaa yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano. + 7:20 Dhiraa 15 ni sawa na mita 7.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Fifteen cubits upward did the waters prevail; and the mountains were covered.
In Context
19Maji yakazidi kujaa juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu chini ya mbingu yote.
Cross References
Genesis 6:15Hivi ndivyo utakavyoitengeneza: Safina iwe na urefu wa dhiraa 300, + 6:15 Dhiraa 300 ni sawa na mita 135. upana wake dhiraa hamsini + 6:15 Dhiraa 50 ni sawa na mita 22:5. na kimo chake dhiraa thelathini. + 6:15 Dhiraa 30 ni sawa na mita 13:5.
Jeremiah 3:23Hakika zile ghasia za kuabudu sanamu kwenye vilima 2 na milimani ni udanganyifu; 1 hakika katika Bwana, Mungu wetu, 2 uko wokovu wa Israeli. 1