bible.software › Genesis › Genesis 6 › Genesis 6:14
Genesis 6:14
Kwa hiyo jitengenezee safina kubwa kwa mbao za mvinje, tengeneza vyumba ndani yake na uipake lami ndani na nje.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Make thee an ark of gopher wood; rooms shalt thou make in the ark, and shalt pitch it within and without with pitch.
In Context
13Kwa hiyo Mungu akamwambia Noa, “Nitawaangamiza watu wote, kwa kuwa dunia imejaa ukatili kwa sababu yao. Hakika mimi nitaangamiza watu pamoja na dunia.
15Hivi ndivyo utakavyoitengeneza: Safina iwe na urefu wa dhiraa 300, + 6:15 Dhiraa 300 ni sawa na mita 135. upana wake dhiraa hamsini + 6:15 Dhiraa 50 ni sawa na mita 22:5. na kimo chake dhiraa thelathini. + 6:15 Dhiraa 30 ni sawa na mita 13:5.
Read all of Genesis 6
Cross References
Exodus 2:3Lakini alipoona hawezi kumficha zaidi, akamtengenezea kisafina cha mafunjo, akakipaka lami. Kisha akamweka huyo mtoto ndani yake, akakificha katikati ya matete kando ya ukingo wa Mto Naili.
Luke 17:27Watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Noa alipoingia katika safina. Ndipo gharika ikaja na kuwaangamiza wote.
This Verse In Other Editions
Study Genesis 6:14