Genesis 6:5
Bwana akaona jinsi uovu wa mwanadamu ulivyokuwa mkubwa duniani, na ya kuwa kila mwelekeo wa mawazo ya moyo wake wakati wote ulikuwa mbaya tu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Bwana akasikitika kwamba alimuumba mwanadamu duniani, moyo wa Mungu ukajaa masikitiko.
Cross References
Genesis 13:13Basi watu wa Sodoma walikuwa waovu, wakifanya sana dhambi dhidi ya Bwana.
Deuteronomy 29:19Wakati mtu wa namna hii asikiapo maneno ya kiapo hiki, hujibariki mwenyewe na kisha hufikiri, “Nitakuwa salama, hata kama nikiendelea kuifuata njia yangu mwenyewe.” Hili litaleta maafa juu ya nchi iliyonyeshewa sawasawa na nchi kame.
Job 22:15Je, utaifuata njia ya zamani, 2 ambayo watu waovu waliikanyaga? 1
Psalms 53:2Mungu anawachungulia wanadamu chini 2 kutoka mbinguni 1 aone kama wako wenye akili, 2 wowote wanaomtafuta Mungu. 1
Ecclesiastes 7:29Hili ndilo peke yake nililolipata: 2 Mungu amemuumba mwanadamu mnyofu, 2 lakini mwanadamu amebuni mambo mengi.”
Jeremiah 4:14Ee Yerusalemu, usafishe uovu kutoka moyoni mwako na uokolewe. 2 Utaendelea kuficha mawazo mapotovu mpaka lini? 1