Mhubiri 7:29
Hili ndilo peke yake nililolipata: 2 Mungu amemuumba mwanadamu mnyofu, 2 lakini mwanadamu amebuni mambo mengi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 3:6Mwanamke alipoona ya kuwa tunda la mti huo lilikuwa zuri kwa chakula na la kupendeza macho, tena linatamanika kwa kujipatia hekima, basi akachuma katika matunda yake, akala, pia akampa mumewe, aliyekuwa pamoja naye, naye akala.
Genesis 6:5Bwana akaona jinsi uovu wa mwanadamu ulivyokuwa mkubwa duniani, na ya kuwa kila mwelekeo wa mawazo ya moyo wake wakati wote ulikuwa mbaya tu.
Genesis 11:4Ndipo wakasema, “Njooni, tujijengee mji wenye mnara ambao utafika hadi mbinguni, ili tujipatie jina tusije tukatawanyika usoni pa dunia yote.”
Psalms 106:29Waliichochea hasira ya Bwana, 2 wakamkasirisha kwa matendo yao maovu, 2 nayo tauni ikazuka katikati yao. 1
Jeremiah 2:12Shangaeni katika hili, ee mbingu, 2 nanyi tetemekeni kwa hofu kuu,” 4 asema Bwana. 1
Ezekiel 22:6“ ‘Ona jinsi kila mkuu wa Israeli aliyeko ndani yako anavyotumia nguvu zake kumwaga damu.