Ayubu 22:15
Je, utaifuata njia ya zamani, 2 ambayo watu waovu waliikanyaga? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hast thou marked the old way which wicked men have trodden?
In Context
14Mawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisi 2 atembeapo juu ya anga la dunia. 1
16Waliondolewa kabla ya wakati wao, 2 misingi yao ikachukuliwa na mafuriko. 1
Cross References
Genesis 6:5Bwana akaona jinsi uovu wa mwanadamu ulivyokuwa mkubwa duniani, na ya kuwa kila mwelekeo wa mawazo ya moyo wake wakati wote ulikuwa mbaya tu.
Genesis 6:12Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao.