Genesis 7:1
Ndipo Bwana akamwambia Noa, “Ingia katika safina wewe na jamaa yako yote, kwa sababu katika kizazi hiki nimeona ya kuwa wewe ni mwenye haki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 6:18Lakini Mimi nitaweka Agano langu na wewe, nawe utaingia ndani ya Safina, wewe pamoja na mke wako, wanao na wake zao.
Genesis 7:13Siku hiyo Noa, na mkewe, na wanawe Shemu, Hamu na Yafethi pamoja na wake zao wakaingia katika ile safina.
Psalms 33:18Lakini macho ya Bwana yako kwa wale wamchao, 2 kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo, 1
Proverbs 10:6Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
Proverbs 11:4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, 2 bali haki huokoa kutoka mautini. 1
Proverbs 18:10Jina la Bwana ni ngome imara, 2 wenye haki huikimbilia na kuwa salama. 1