Proverbs 10:6
Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Blessings are upon the head of the just: but violence covereth the mouth of the wicked.
In Context
7Kumbukumbu ya mwenye haki itakuwa baraka, 2 lakini jina la mwovu litaoza. 1
Cross References
Esther 7:8Mara mfalme aliporudi kutoka bustani ya jumba la kifalme na kuja kwenye ukumbi wa karamu, Hamani alikuwa akijitupa juu ya kiti mahali ambapo Esta alikuwa akiegemea. Mfalme akasema kwa nguvu, “Je, atamdhalilisha malkia hata huku nyumbani akiwa pamoja nami!” Mara neno lilipotoka kinywani mwa mfalme, walifunika uso wa Hamani.
Psalms 107:42Wanyofu wataona na kufurahi, 2 lakini waovu wote watafunga vinywa vyao. 1
Proverbs 10:11Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
Proverbs 24:25Bali itakuwa vyema kwa wale watakaowatia hatiani wenye hatia, 2 nazo baraka tele zitawajilia juu yao. 1
Isaiah 3:10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, 2 kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 1
2 Timothy 1:16Bwana akawahurumie watu wa nyumbani mwa Onesiforo, kwa sababu aliniburudisha mara kwa mara wala hakuionea aibu minyororo yangu.