Genesis 7:13
Siku hiyo Noa, na mkewe, na wanawe Shemu, Hamu na Yafethi pamoja na wake zao wakaingia katika ile safina.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Mvua ikanyesha juu ya nchi siku arobaini usiku na mchana.
Cross References
Genesis 5:32Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.
Genesis 6:18Lakini Mimi nitaweka Agano langu na wewe, nawe utaingia ndani ya Safina, wewe pamoja na mke wako, wanao na wake zao.
Genesis 7:7Noa na mkewe na wanawe na wake zao wakaingia katika safina ili waepuke ile gharika.
Genesis 9:18Wana wa Noa waliotoka ndani ya safina ni: Shemu, Hamu na Yafethi. (Hamu ndiye alikuwa baba wa Kanaani.)
Genesis 10:6Wana wa Hamu walikuwa: 2 Kushi, Misraimu, + 10:6 Yaani Misri . Putu na Kanaani. 1
Judges 21:22Baba zao au ndugu zao waume watakapotulalamikia, tutawaambia, ‘Kuweni wakarimu kwetu, nanyi mturuhusu tuwe nao kwa kuwa hatukuweza kumpa kila mtu mke tulipopigana. Lakini ninyi pia hamna hatia, kwa kuwa hamkuwapa wao binti zenu kuwa wake.’ ”