The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 7 › Genesis 7:11

Genesis 7:11

Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili mwaka wa 600 wa kuishi kwake Noa, siku hiyo ndipo chemchemi zote hata zilizo chini sana ya ardhi zilibubujika kwa nguvu, na malango ya mafuriko ya mbinguni yakafunguliwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In the six hundredth year of Noah’s life, in the second month, the seventeenth day of the month, the same day were all the fountains of the great deep broken up, and the windows of heaven were opened.

In Context

10Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia.

12Mvua ikanyesha juu ya nchi siku arobaini usiku na mchana.

Read all of Genesis 7

Cross References

Genesis 1:7Kwa hiyo Mungu akafanya nafasi, akatenganisha maji yaliyo chini ya hiyo nafasi na maji yaliyo juu yake. Ikawa hivyo.

Genesis 8:2Zile chemchemi zilizo chini sana ya ardhi pamoja na malango ya mafuriko ya mbinguni yakawa yamefungwa nayo mvua ikawa imekoma kunyesha kutoka angani.

2 Kings 7:2Yule afisa ambaye mfalme alikuwa anauegemea mkono wake akamwambia yule mtu wa Mungu, “Tazama, hata kama Bwana atafungua madirisha ya mbinguni, je, jambo hili litawezekana?” Elisha akajibu, “Utaona kwa macho yako mwenyewe, lakini wewe hutakula chochote kati ya hivyo!” 1 Mwisho Wa Kuzingirwa

Job 28:4Huchimba shimo jembamba mbali na makao ya watu, 2 mahali paliposahaulika na nyayo za wanadamu; 2 mbali na wanadamu huningʼinia na kupembea kwa kamba. 1

Job 38:37Nani mwenye hekima ya kuyahesabu mawingu? 2 Ni nani awezaye kuinamisha magudulia ya mbinguni 1

Psalms 74:15Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito, 2 ulikausha mito ambayo ilikuwa ikitiririka daima. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 7:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 7:10Genesis 7Genesis 7:12 →