Ayubu 38:37
Nani mwenye hekima ya kuyahesabu mawingu? 2 Ni nani awezaye kuinamisha magudulia ya mbinguni 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who can number the clouds in wisdom? or who can stay the bottles of heaven,
In Context
36Ni nani aliyeujalia moyo hekima 2 au kuzipa akili ufahamu? 1
38wakati mavumbi yawapo magumu, 2 na mabonge ya udongo kushikamana pamoja? 1
Cross References
Genesis 7:11Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili mwaka wa 600 wa kuishi kwake Noa, siku hiyo ndipo chemchemi zote hata zilizo chini sana ya ardhi zilibubujika kwa nguvu, na malango ya mafuriko ya mbinguni yakafunguliwa.
Genesis 9:15nitakumbuka Agano langu kati yangu na ninyi na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina. Kamwe maji hayatakuwa tena gharika ya kuangamiza uhai wote.
Psalms 147:4Huzihesabu nyota 2 na huipa kila moja jina lake. 1