Genesis 7:21
Kila kiumbe hai kitambaacho juu ya nchi kikaangamia: Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama pori, viumbe vyote juu ya nchi na wanadamu wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Kila kiumbe juu ya nchi kavu chenye pumzi ya uhai kikafa.
Cross References
Genesis 6:13Kwa hiyo Mungu akamwambia Noa, “Nitawaangamiza watu wote, kwa kuwa dunia imejaa ukatili kwa sababu yao. Hakika mimi nitaangamiza watu pamoja na dunia.
Genesis 7:4Siku saba kuanzia sasa nitaleta mvua juu ya nchi kwa siku arobaini usiku na mchana, nami nitafutilia mbali kutoka uso wa nchi kila kiumbe hai nilichokiumba.”
Isaiah 24:6Kwa hiyo laana inaiteketeza dunia, 2 watu wake lazima waichukue hatia yao. 1 Kwa hiyo wakazi wa dunia wameteketezwa, 2 nao waliosalia ni wachache sana. 1
Jeremiah 4:22“Watu wangu ni wapumbavu, 2 hawanijui mimi. 1 Ni watoto wasio na akili, 2 hawana ufahamu. 1 Ni hodari kutenda mabaya, 2 hawajui kutenda yaliyo mema.” 1
Hosea 4:3Kwa sababu hii nchi huomboleza, 2 wote waishio ndani mwake wanadhoofika, 1 wanyama wa kondeni, ndege wa angani 2 na samaki wa baharini wanakufa. 1
Joel 2:3Mbele yao moto unateketeza, 2 nyuma yao miali ya moto 2 inawaka kwa nguvu. 1 Mbele yao nchi iko kama bustani ya Edeni, 2 nyuma yao ni jangwa lisilofaa: 2 hakuna kitu kinachowaepuka. 1