bible.software › Genesis › Genesis 7 › Genesis 7:22
Genesis 7:22
Kila kiumbe juu ya nchi kavu chenye pumzi ya uhai kikafa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All in whose nostrils was the breath of life, of all that was in the dry land, died.
In Context
21Kila kiumbe hai kitambaacho juu ya nchi kikaangamia: Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama pori, viumbe vyote juu ya nchi na wanadamu wote.
23Kila kitu chenye uhai juu ya uso wa nchi kilifutiliwa mbali, watu, wanyama, viumbe vitambaavyo na ndege warukao angani wakafutiliwa mbali toka duniani. Waliobaki ni Noa peke yake na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina.
Read all of Genesis 7
Cross References
Genesis 6:17Nitaleta gharika ya maji juu ya nchi ili kuangamiza uhai wote chini ya mbingu, kila kiumbe chenye pumzi ya uhai ndani yake. Kila kitu juu ya nchi kitaangamia.
This Verse In Other Editions
Study Genesis 7:22