bible.software › Genesis › Genesis 9 › Genesis 9:17
Genesis 9:17
Hivyo Mungu akamwambia Noa, “Hii ndiyo ishara ya Agano ambalo nimelifanya kati yangu na viumbe vyote vilivyo hai duniani.” 1 Wana Wa Noa
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And God said unto Noah, This is the token of the covenant, which I have established between me and all flesh that is upon the earth.
In Context
16Wakati wowote upinde wa mvua unapotokea mawinguni, nitauona na kukumbuka Agano la milele kati ya Mungu na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina duniani.”
18Wana wa Noa waliotoka ndani ya safina ni: Shemu, Hamu na Yafethi. (Hamu ndiye alikuwa baba wa Kanaani.)
Read all of Genesis 9
Cross References
Genesis 9:9“Sasa mimi ninaweka Agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu,
This Verse In Other Editions
Study Genesis 9:17