Genesis 9:18
Wana wa Noa waliotoka ndani ya safina ni: Shemu, Hamu na Yafethi. (Hamu ndiye alikuwa baba wa Kanaani.)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Noa, kutokana nao watu walienea katika dunia.
Cross References
Genesis 5:32Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.
Genesis 9:25akasema, 1 “Alaaniwe Kanaani! 2 Atakuwa mtumwa wa chini sana 2 kuliko watumwa wote kwa ndugu zake.”
Genesis 10:6Wana wa Hamu walikuwa: 2 Kushi, Misraimu, + 10:6 Yaani Misri . Putu na Kanaani. 1