Genesis 9:16
Wakati wowote upinde wa mvua unapotokea mawinguni, nitauona na kukumbuka Agano la milele kati ya Mungu na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina duniani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 9:9“Sasa mimi ninaweka Agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu,
Genesis 17:13Awe amezaliwa nyumbani mwako au amenunuliwa kwa fedha yako, ni lazima watahiriwe. Agano langu katika mwili wako litakuwa ni Agano la milele.
2 Samuel 23:5“Je, si hivyo ilivyo nyumba yangu 2 mbele za Mungu? 1 Je, hajafanya Agano la milele nami, 2 lililopangwa na kuimarishwa 2 kila sehemu? 1 Je, hatanifanya niufurahie wokovu wangu 2 na kunijalia matakwa yangu yote? 1
Isaiah 54:8Katika ukali wa hasira 2 nilikuficha uso wangu kwa kitambo, 1 lakini kwa fadhili za milele 2 nitakuwa na huruma juu yako,” 2 asema Bwana Mkombozi wako. 1
Jeremiah 32:40Nitafanya nao agano la milele: Kamwe sitaacha kuwatendea mema, nami nitawavuvia kunicha mimi, ili kamwe wasigeukie mbali nami.
Ezekiel 37:26Nitafanya nao Agano la amani, litakuwa Agano la milele. Nitawafanya imara na kuongeza idadi yao, nami nitaweka mahali patakatifu pangu miongoni mwao milele.