Hagai 1:5
Sasa hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Zitafakarini vyema njia zenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now therefore thus saith the LORD of hosts; Consider your ways.
In Context
Cross References
Exodus 7:23Badala yake, Farao akageuka, akaenda kwenye jumba lake la kifalme, wala hakulitia hili moyoni.
Psalms 48:13yatafakarini vyema maboma yake, 2 angalieni ngome zake, 1 ili mpate kusimulia habari zake 2 kwa kizazi kijacho. 1
Ezekiel 18:28Kwa kuwa anayafikiria na kugeuka kutoka makosa yake yote aliyoyatenda na kuyaacha, hakika ataishi, hatakufa.
Daniel 6:14Wakati mfalme aliposikia hili, akahuzunika mno. Akakusudia kumwokoa Danieli, hivyo akafanya kila jitihada ya kumwokoa hadi jua likatua.
Haggai 1:7Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Zitafakarini vyema njia zenu.
Luke 15:17“Lakini alipozingatia moyoni mwake, akasema, ‘Ni watumishi wangapi walioajiriwa na baba yangu ambao wana chakula cha kuwatosha na kusaza, bali mimi hapa nakufa kwa njaa!