Hagai 1:7
Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Zitafakarini vyema njia zenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thus saith the LORD of hosts; Consider your ways.
In Context
8Pandeni milimani mkalete miti na kujenga nyumba, ili nipate kuifurahia, na nitukuzwe,” asema Bwana.
Cross References
Isaiah 28:10Kwa maana ni: 2 Amri juu ya amri, amri juu ya amri, 2 kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni; 2 hapa kidogo, kule kidogo.” 1
Haggai 1:5Sasa hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Zitafakarini vyema njia zenu.