The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 1 › Waebrania 1:10

Waebrania 1:10

Pia asema, 1 “Hapo mwanzo, Ee Bwana, uliweka misingi ya dunia, 2 nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And, Thou, Lord, in the beginning hast laid the foundation of the earth; and the heavens are the works of thine hands:

In Context

9Umependa haki na kuchukia uovu; 2 kwa hiyo Mungu, Mungu wako, 2 amekuweka juu ya wenzako 2 kwa kukupaka mafuta ya furaha.”

11Hizo zitatoweka, lakini wewe utadumu; 2 zote zitachakaa kama vazi. 1

Read all of Waebrania 1

Cross References

Deuteronomy 4:19Na utazamapo juu angani na ukaliona jua, mwezi na nyota na vyote vinavyoipamba mbingu, usije ukashawishiwa kuviinamia na kuviabudu vile ambavyo Bwana Mungu wenu alivyogawia mataifa yote chini ya mbingu.

Psalms 19:1Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, 2 anga zahubiri kazi ya mikono yake. 1

Proverbs 8:29wakati aliiwekea bahari mpaka wake 2 ili maji yasivunje agizo lake, 1 na wakati aliweka misingi ya dunia. 2

Isaiah 48:13Mkono wangu mwenyewe uliweka misingi ya dunia, 2 nao mkono wangu wa kuume umezitanda mbingu; 2 niziitapo, zote husimama pamoja. 1

Isaiah 64:8Lakini, Ee Bwana, wewe ndiwe Baba yetu. 2 Sisi ni udongo, wewe ndiye mfinyanzi; 2 sisi sote tu kazi ya mkono wako. 1

Zechariah 12:1Hili ni neno la Bwana kuhusu Israeli. Bwana, yeye azitandaye mbingu, awekaye misingi ya dunia na aiumbaye roho ya mwanadamu ndani yake, asema:

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 1:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 1:9Waebrania 1Waebrania 1:11 →