Waebrania 1:11
Hizo zitatoweka, lakini wewe utadumu; 2 zote zitachakaa kama vazi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They shall perish; but thou remainest; and they all shall wax old as doth a garment;
In Context
Cross References
Psalms 29:10Bwana huketi akiwa ametawazwa juu ya gharika; 2 Bwana ametawazwa kuwa Mfalme milele. 1
Isaiah 34:4Nyota zote za mbinguni zitayeyuka 2 na anga litasokotwa kama kitabu, 1 jeshi lote la angani litaanguka 2 kama majani yaliyonyauka kutoka kwenye mzabibu, 2 kama tini iliyonyauka kutoka kwenye mtini. 1
Isaiah 44:6“Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mfalme wa Israeli na Mkombozi, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho; 2 zaidi yangu hakuna Mungu. 1
Isaiah 51:6Inueni macho yenu mbinguni, 2 mkaitazame dunia chini; 1 mbingu zitatoweka kama moshi, 2 dunia itachakaa kama vazi, 2 na wakazi wake kufa kama mainzi. 1 Bali wokovu wangu utadumu milele, 2 haki yangu haitakoma kamwe. 1
Isaiah 65:17“Tazama, nitaumba 2 mbingu mpya na dunia mpya. 1 Mambo ya zamani hayatakumbukwa, 2 wala hayatakuja akilini. 1
Mark 13:31Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 1 Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa (Mathayo 24:36-44)