Waebrania 1:12
Utazikungʼutakungʼuta kama joho, 2 nazo zitachakaa kama vazi. 1 Lakini wewe hubadiliki, 2 nayo miaka yako haikomi kamwe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Hizo zitatoweka, lakini wewe utadumu; 2 zote zitachakaa kama vazi. 1
Cross References
Psalms 90:4Kwa maana kwako miaka elfu 2 ni kama siku moja iliyokwisha pita, 2 au kama kesha la usiku. 1
John 8:58Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, kabla Abrahamu hajakuwako, ‘Mimi niko.’ ”
James 1:17Kila kitolewacho kilicho chema na kilicho kamili, hutoka juu, na hushuka kutoka kwa Baba wa mianga, ambaye kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.