Hebrews 1:13
Je, ni kwa malaika yupi ambaye Mungu amepata kumwambia wakati wowote, 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako”?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Je, malaika wote si roho watumikao, waliotumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?
Cross References
Psalms 21:8Mkono wako utawashika adui zako wote, 2 mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. 1
Psalms 132:18Adui zake nitawavika aibu, 2 bali taji kichwani pake itangʼaa sana.”
Matthew 22:44“ ‘ Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako.”’
Luke 19:27Lakini wale adui zangu ambao hawakutaka mimi niwe mfalme juu yao. Waleteni hapa mkawaue mbele yangu.’ ” 1 Yesu Aingia Yerusalemu Kwa Ushindi (Mathayo 21:1-11; Marko 11:1-11; Yohana 12:12-19)
Acts 2:34Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema, 1 “ ‘ Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1
1 Corinthians 15:25Kwa maana lazima Kristo atawale mpaka awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake.