The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 1 › Hebrews 1:7

Hebrews 1:7

Anenapo kuhusu malaika asema, 1 “Huwafanya malaika wake kuwa pepo, 2 watumishi wake kuwa miali ya moto.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And of the angels he saith, Who maketh his angels spirits, and his ministers a flame of fire.

In Context

6Tena, Mungu amletapo mzaliwa wake wa kwanza ulimwenguni, anasema, 1 “Malaika wote wa Mungu na wamsujudu.”

8Lakini kwa habari za Mwana asema, 1 “Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, 2 kitadumu milele na milele, 1 nayo haki itakuwa fimbo ya utawala 2 ya ufalme wako. 1

Read all of Hebrews 1

Cross References

2 Kings 6:17Kisha Elisha akaomba, “Ee Bwana, mfumbue macho huyu mtumishi ili apate kuona.” Ndipo Bwana akayafumbua macho ya yule mtumishi, naye akatazama na kuona vilima vimejaa farasi na magari ya moto, yamemzunguka Elisha pande zote.

Isaiah 6:2Juu yake walikuwepo maserafi, kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Kwa mabawa mawili walifunika nyuso zao, kwa mengine mawili walifunika miguu yao, na kwa mawili walikuwa wakiruka.

Daniel 7:10Mto wa moto ulikuwa unatiririka, 2 ukipita mbele yake. 1 Maelfu elfu wakamhudumia; 2 kumi elfu mara kumi elfu wakasimama mbele zake. 1 Mahakama ikakaa kuhukumu, 2 na vitabu vikafunguliwa.

Hebrews 1:14Je, malaika wote si roho watumikao, waliotumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 1:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 1:6Hebrews 1Hebrews 1:8 →