The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 1 › Waebrania 1:8

Waebrania 1:8

Lakini kwa habari za Mwana asema, 1 “Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, 2 kitadumu milele na milele, 1 nayo haki itakuwa fimbo ya utawala 2 ya ufalme wako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But unto the Son he saith, Thy throne, O God, is for ever and ever: a sceptre of righteousness is the sceptre of thy kingdom.

In Context

7Anenapo kuhusu malaika asema, 1 “Huwafanya malaika wake kuwa pepo, 2 watumishi wake kuwa miali ya moto.”

9Umependa haki na kuchukia uovu; 2 kwa hiyo Mungu, Mungu wako, 2 amekuweka juu ya wenzako 2 kwa kukupaka mafuta ya furaha.”

Read all of Waebrania 1

Cross References

Deuteronomy 7:14Mtabarikiwa kuliko mataifa mengine yote, hakuna wanaume wala wanawake kwenu watakaokosa watoto, wala mifugo yenu haitakuwa tasa.

Psalms 45:6Ee Mungu, kiti chako cha enzi 2 kitadumu milele na milele, 1 fimbo ya utawala wa haki 2 itakuwa fimbo ya utawala wa ufalme wako. 1

Psalms 72:7Katika siku zake wenye haki watastawi; 2 mafanikio yatakuwepo mpaka mwezi utakapokoma. 1

Psalms 99:4Mfalme ni mwenye nguvu na hupenda haki, 2 wewe umethibitisha adili; 1 katika Yakobo umefanya 2 yaliyo haki na sawa. 1

Isaiah 7:14Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, na ataitwa Imanueli. + 7:14 Imanueli maana yake Mungu yu pamoja nasi.

Isaiah 32:1Tazama, mfalme atatawala kwa uadilifu 2 na watawala watatawala kwa haki. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 1:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 1:7Waebrania 1Waebrania 1:9 →