Hebrews 10:13
Tangu wakati huo anangoja mpaka adui zake wawekwe chini ya miguu yake,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
From henceforth expecting till his enemies be made his footstool.
In Context
14kwa sababu kwa dhabihu moja amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wote wanaotakaswa.
Cross References
Daniel 2:44“Katika siku za wafalme hao, Mungu wa mbinguni atauweka ufalme ambao kamwe hautaangamizwa, wala hautaachiwa taifa jingine. Utaziponda zile falme zote na kuzikomesha, bali wenyewe utadumu milele.
Mark 12:36Kwa maana Daudi mwenyewe, akinena kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu, alisema: 1 “ ‘ Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako.”’
Acts 2:35hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako.” ’
Hebrews 1:13Je, ni kwa malaika yupi ambaye Mungu amepata kumwambia wakati wowote, 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako”?