The Bible Software
bible.softwareMarkMark 12 › Mark 12:36

Mark 12:36

Kwa maana Daudi mwenyewe, akinena kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu, alisema: 1 “ ‘ Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako.”’

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For David himself said by the Holy Ghost, The Lord said to my Lord, Sit thou on my right hand, till I make thine enemies thy footstool.

In Context

35Yesu alipokuwa akifundisha Hekaluni, akauliza, “Imekuwaje walimu wa sheria wanasema kwamba Kristo + 12:35 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. ni Mwana wa Daudi?

37Kwa hiyo Daudi mwenyewe anamwita ‘Bwana.’ Awezaje basi yeye kuwa mwanawe?” Ule umati wote wa watu wakamsikiliza kwa furaha. 1 Yesu Awatahadharisha Watu Kuhusu Walimu Wa Sheria (Mathayo 23:1-36; Luka 20:45-47)

Read all of Mark 12

Cross References

2 Samuel 23:2“Roho wa Bwana alinena kupitia kwangu, 2 neno lake lilikuwa ulimini mwangu. 1

Psalms 110:1Bwana amwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 mpaka nitakapowafanya adui zako 2 kuwa mahali pa kuweka miguu yako.” 1

Acts 1:16“Ndugu zangu, ilibidi Andiko litimie ambalo Roho Mtakatifu alitabiri kupitia kwa Daudi kumhusu Yuda aliyewaongoza wale waliomkamata Yesu.

Acts 28:25Hivyo hawakukubaliana, nao walipokuwa wanaondoka, Paulo akatoa kauli moja zaidi: “Roho Mtakatifu alinena kweli na baba zenu aliposema mambo yale yaliyomhusu Bwana Yesu kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba: 1

2 Timothy 3:16Kila Andiko limevuviwa na Mungu na lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki,

Hebrews 3:7Kwa hiyo, kama Roho Mtakatifu asemavyo: 1 “Leo, kama mkiisikia sauti yake, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 12:36

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 12:35Mark 12Mark 12:37 →