The Bible Software
bible.software › Waebrania › Waebrania 10 › Waebrania 10:37

Waebrania 10:37

Kwa kuwa bado kitambo kidogo tu, 1 “Yeye ajaye atakuja wala hatakawia. 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For yet a little while, and he that shall come will come, and will not tarry.

In Context

36Inawapasa kuvumilia ili mkiisha kufanya mapenzi ya Mungu mpate kile alichoahidi.

38Lakini mwenye haki wangu 2 ataishi kwa imani. 1 Naye kama akisitasita, 2 sina furaha naye.”

Read all of Waebrania 10

Cross References

Isaiah 60:22Aliye mdogo kwenu atakuwa elfu, 2 mdogo kuliko wote atakuwa taifa lenye nguvu. 1 Mimi ndimi Bwana; 2 katika wakati wake nitayatimiza haya upesi.”

Matthew 11:3ili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?”

James 5:7Kwa hiyo, ndugu zangu, vumilieni hadi kuja kwake Bwana. Angalieni jinsi mkulima angojavyo ardhi itoe mavuno yake yaliyo ya thamani na jinsi anavyovumilia kwa ajili ya kupata mvua za kwanza na za mwisho.

Revelation 22:20Yeye anayeshuhudia mambo haya asema, “Hakika, naja upesi!” Amen. Njoo, Bwana Yesu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 10:37

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 10:36Waebrania 10Waebrania 10:38 →