The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 10 › Waebrania 10:7

Waebrania 10:7

Ndipo niliposema, ‘Mimi hapa, nimekuja, 2 imeandikwa kunihusu katika kitabu: 1 Nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu.’ ”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then said I, Lo, I come (in the volume of the book it is written of me,) to do thy will, O God.

In Context

6sadaka za kuteketezwa na za dhambi 2 hukupendezwa nazo. 1

8Kwanza alisema, “Dhabihu na sadaka, sadaka za kuteketezwa na za dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo” (ingawa sheria iliagiza zitolewe).

Read all of Waebrania 10

Cross References

Psalms 40:7Ndipo niliposema, “Mimi hapa, nimekuja: 2 imeandikwa kunihusu katika kitabu. 1

Jeremiah 36:2“Chukua kitabu uandike ndani yake maneno yote niliyonena nawe kuhusu Israeli, Yuda na mataifa mengine yote, tangu nilipoanza kunena nawe wakati wa utawala wa Yosia hadi sasa.

John 5:30“Mimi siwezi kufanya jambo lolote peke yangu. Ninavyosikia ndivyo ninavyohukumu, nayo hukumu yangu ni ya haki kwa kuwa sitafuti kufanya mapenzi yangu mwenyewe, bali mapenzi yake yeye aliyenituma.

Hebrews 10:9Kisha akasema “Mimi hapa, nimekuja kuyafanya mapenzi yako.” Aondoa lile Agano la kwanza ili kuimarisha la pili.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 10:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 10:6Waebrania 10Waebrania 10:8 →