The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 10 › Waebrania 10:9

Waebrania 10:9

Kisha akasema “Mimi hapa, nimekuja kuyafanya mapenzi yako.” Aondoa lile Agano la kwanza ili kuimarisha la pili.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then said he, Lo, I come to do thy will, O God. He taketh away the first, that he may establish the second.

In Context

8Kwanza alisema, “Dhabihu na sadaka, sadaka za kuteketezwa na za dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo” (ingawa sheria iliagiza zitolewe).

10Katika mapenzi hayo sisi tumetakaswa na kufanywa watakatifu kwa njia ya sadaka ya mwili wa Yesu Kristo alioutoa mara moja tu.

Read all of Waebrania 10

Cross References

Hebrews 8:7Kwa maana kama hapakuwa na kasoro katika lile agano la kwanza, pasingekuwa na haja ya kutafuta nafasi kwa ajili ya jingine.

Hebrews 10:7Ndipo niliposema, ‘Mimi hapa, nimekuja, 2 imeandikwa kunihusu katika kitabu: 1 Nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu.’ ”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 10:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 10:8Waebrania 10Waebrania 10:10 →