bible.software › Waebrania › Waebrania 10 › Waebrania 10:8
Waebrania 10:8
Kwanza alisema, “Dhabihu na sadaka, sadaka za kuteketezwa na za dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo” (ingawa sheria iliagiza zitolewe).
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Above when he said, Sacrifice and offering and burnt offerings and offering for sin thou wouldest not, neither hadst pleasure therein; which are offered by the law;
In Context
7Ndipo niliposema, ‘Mimi hapa, nimekuja, 2 imeandikwa kunihusu katika kitabu: 1 Nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu.’ ”
9Kisha akasema “Mimi hapa, nimekuja kuyafanya mapenzi yako.” Aondoa lile Agano la kwanza ili kuimarisha la pili.
Read all of Waebrania 10
Cross References
Hebrews 10:5Kwa hiyo, Kristo alipokuja duniani, alisema: 1 “Dhabihu na sadaka hukuzitaka, 2 bali mwili uliniandalia; 1
This Verse In Other Editions
Study Waebrania 10:8