Hebrews 13:12
Vivyo hivyo, Yesu naye aliteswa nje ya lango la mji ili awatakase watu kwa damu yake mwenyewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Kwa hiyo, basi na tumwendee nje ya kambi, tukiichukua aibu aliyobeba.
Cross References
Numbers 15:36Hivyo kusanyiko likamtoa nje ya kambi na kumpiga mawe hadi akafa, kama Bwana alivyomwamuru Mose. 1 Vifundo Kwenye Mavazi
Mark 15:20Walipokwisha kumdhihaki, wakamvua lile joho la zambarau, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakamtoa nje ili wakamsulubishe. 1 Kusulubiwa Kwa Yesu (Mathayo 27:32-44; Luka 23:26-43; Yohana 19:17-27)
John 19:17Yesu, akiwa ameubeba msalaba wake, akatoka kuelekea mahali palipoitwa Fuvu la Kichwa (kwa Kiebrania ni Golgotha).
Acts 7:58Wakamtupa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka mavazi yao miguuni mwa kijana mmoja ambaye jina lake aliitwa Sauli.
Ephesians 5:26kusudi alifanye takatifu, akilitakasa kwa kuliosha kwa maji katika Neno lake,
Hebrews 9:12Hakuingia kwa njia ya damu ya mbuzi na ya ndama; lakini aliingia Patakatifu pa Patakatifu mara moja tu kwa damu yake mwenyewe, akiisha kupata ukombozi wa milele.