Hebrews 3:13
Lakini mtiane moyo mtu na mwenzake kila siku, maadamu iitwapo Leo, ili asiwepo hata mmoja wenu mwenye kufanywa mgumu kwa udanganyifu wa dhambi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 28:26Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu, 2 bali yeye atembeaye katika hekima hulindwa salama. 1
Obadiah 1:3Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, 2 wewe unayeishi katika majabali ya miamba 2 na kufanya makao yako juu, 1 wewe unayejiambia mwenyewe, 2 ‘Ni nani awezaye kunishusha chini?’ 1
Romans 7:11Kwa maana dhambi kwa kupata nafasi katika amri, ilinidanganya, na kupitia katika hiyo amri, ikaniua.
1 Thessalonians 2:11Maana mnajua kwamba tuliwatendea kila mmoja wenu kama vile baba awatendeavyo watoto wake.
1 Thessalonians 5:11Kwa hiyo farijianeni na kujengana, kama vile mnavyofanya sasa. 1 Maagizo Ya Mwisho, Salamu Na Kuwatakia Heri
Hebrews 10:24Tuangaliane na kuhimizana sisi kwa sisi katika upendo na katika kutenda mema.