The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 3 › Hebrews 3:7

Hebrews 3:7

Kwa hiyo, kama Roho Mtakatifu asemavyo: 1 “Leo, kama mkiisikia sauti yake, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wherefore (as the Holy Ghost saith, To day if ye will hear his voice,

In Context

6Lakini Kristo ni mwaminifu kama Mwana katika nyumba ya Mungu. Sisi ndio nyumba yake, kama tutashikilia sana ujasiri wetu na tumaini tunalojivunia. 1 Onyo Dhidi Ya Kutokuamini

8msiifanye mioyo yenu migumu, 1 kama mlivyofanya katika uasi, 2 wakati ule wa kujaribiwa jangwani, 1

Read all of Hebrews 3

Cross References

Psalms 81:11“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; 2 Israeli hakutaka kunitii. 1

Psalms 95:7kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, 2 na sisi ni watu wa malisho yake, 2 kondoo chini ya utunzaji wake. 1 Kama mkiisikia sauti yake leo, 2

Ecclesiastes 9:10Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakokwenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.

Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1

Matthew 22:43Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho, anamwita Kristo ‘Bwana’? Kwa maana asema, 1

John 5:25Amin, amin nawaambia, saa yaja, nayo saa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, nao watakaoisikia watakuwa hai.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 3:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 3:6Hebrews 3Hebrews 3:8 →