The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 22 › Matthew 22:43

Matthew 22:43

Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho, anamwita Kristo ‘Bwana’? Kwa maana asema, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He saith unto them, How then doth David in spirit call him Lord, saying,

In Context

42“Mnaonaje kuhusu Kristo? + 22:42 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.”

44“ ‘ Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako.”’

Read all of Matthew 22

Cross References

Mark 12:36Kwa maana Daudi mwenyewe, akinena kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu, alisema: 1 “ ‘ Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako.”’

Acts 1:16“Ndugu zangu, ilibidi Andiko litimie ambalo Roho Mtakatifu alitabiri kupitia kwa Daudi kumhusu Yuda aliyewaongoza wale waliomkamata Yesu.

Hebrews 3:7Kwa hiyo, kama Roho Mtakatifu asemavyo: 1 “Leo, kama mkiisikia sauti yake, 2

Revelation 1:10Katika siku ya Bwana, nilikuwa katika Roho na nikasikia sauti kubwa kama ya baragumu nyuma yangu

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 22:43

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 22:42Matthew 22Matthew 22:44 →