Hebrews 3:8
msiifanye mioyo yenu migumu, 1 kama mlivyofanya katika uasi, 2 wakati ule wa kujaribiwa jangwani, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Harden not your hearts, as in the provocation, in the day of temptation in the wilderness:
In Context
7Kwa hiyo, kama Roho Mtakatifu asemavyo: 1 “Leo, kama mkiisikia sauti yake, 2
Cross References
Exodus 8:15Lakini Farao alipoona pametokea nafuu, akaushupaza moyo wake na hakuwasikiliza Mose na Aroni, kama vile Bwana alivyokuwa amesema. 1 Pigo La Tatu: Viroboto
Numbers 14:11Bwana akamwambia Mose, “Watu hawa watanidharau mpaka lini? Wataendelea kukataa kuniamini mimi mpaka lini, ingawa nimetenda ishara za miujiza miongoni mwao?
Deuteronomy 6:16Usimjaribu Bwana Mungu wako kama ulivyofanya huko Masa.
1 Samuel 6:6Kwa nini ninyi mnafanya mioyo yenu migumu kama Wamisri na Farao walivyofanya? Je, alipowatendea kwa ukali, hawakuwaachia Waisraeli wakaenda zao?
2 Chronicles 30:8Msiwe na shingo ngumu, kama baba zenu walivyokuwa, bali nyenyekeeni kwa Bwana. Njooni mahali patakatifu, alipopatakasa milele. Mtumikieni Bwana Mungu wenu, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nanyi.
Nehemiah 9:16“Lakini wao, baba zetu, wakawa na kiburi na shingo ngumu, nao hawakutii maagizo yako.