Waebrania 4:6
Kwa hiyo inabaki kuwa wazi kwa wengine kuingia, nao wale wa kwanza waliopokea Injili walishindwa kuingia kwa sababu ya kutokutii.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Tena hapo juu asema, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.”
Cross References
Numbers 14:12Nitawapiga kwa tauni na kuwaangamiza, lakini nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa lenye nguvu kuliko wao.”
Isaiah 65:15Mtaliacha jina lenu 2 kuwa laana kwa watu wangu waliochaguliwa; 1 Bwana Mwenyezi atawaua ninyi, 2 lakini watumishi wake atawapa jina jingine. 1
Matthew 22:9Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni yeyote mtakayemwona.’
Acts 13:46Ndipo Paulo na Barnaba wakawajibu kwa ujasiri, wakisema, “Ilitupasa kunena nanyi neno la Mungu kwanza. Lakini kwa kuwa mmelikataa, mkajihukumu wenyewe kuwa hamstahili uzima wa milele, sasa tunawageukia watu wa Mataifa.
1 Corinthians 7:29Lakini ndugu zangu, nina maana kwamba muda uliobaki ni mfupi. Tangu sasa wale waliooa waishi kama wasio na wake;
Hebrews 3:18Ni nani hao ambao Mungu aliapa kuwa kamwe hawataingia rahani mwake isipokuwa ni wale waliokataa kutii?