Hebrews 4:7
Kwa hiyo Mungu ameweka siku nyingine, akaiita Leo, akisema kwa kinywa cha Daudi baadaye sana, kwa maneno yaliyotangulia kunenwa: 1 “Leo, kama mkiisikia sauti yake, 2 msiifanye mioyo yenu migumu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Kwa maana kama Yoshua alikuwa amewapa raha, Mungu hangesema tena baadaye kuhusu siku nyingine.
Cross References
1 Kings 6:1Katika mwaka wa 480 baada ya Waisraeli kutoka nchi ya Misri, katika mwaka wa nne wa utawala wa Solomoni katika Israeli, katika mwezi wa Zivu, ambao ndio mwezi wa pili, alianza kujenga Hekalu la Bwana.
Matthew 22:43Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho, anamwita Kristo ‘Bwana’? Kwa maana asema, 1
Luke 20:42Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: 1 “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1
Acts 2:31Daudi, akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Kristo, + 2:31 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu.
Acts 28:25Hivyo hawakukubaliana, nao walipokuwa wanaondoka, Paulo akatoa kauli moja zaidi: “Roho Mtakatifu alinena kweli na baba zenu aliposema mambo yale yaliyomhusu Bwana Yesu kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba: 1
Hebrews 3:15Kama ilivyonenwa: 1 “Leo, kama mkiisikia sauti yake, 2 msiifanye mioyo yenu migumu 1 kama mlivyofanya wakati wa kuasi.”