The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 4 › Hebrews 4:9

Hebrews 4:9

Kwa hiyo basi, imebaki raha ya Sabato kwa ajili ya watu wa Mungu;

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There remaineth therefore a rest to the people of God.

In Context

8Kwa maana kama Yoshua alikuwa amewapa raha, Mungu hangesema tena baadaye kuhusu siku nyingine.

10kwa kuwa kila mmoja aingiaye katika raha ya Mungu pia hupumzika kutoka kazi zake mwenyewe, kama vile Mungu alivyopumzika kutoka kazi zake.

Read all of Hebrews 4

Cross References

Psalms 47:9Wakuu wa mataifa wanakusanyika 2 kama watu wa Mungu wa Abrahamu, 1 kwa kuwa wafalme wa dunia ni mali ya Mungu; 2 yeye ametukuka sana.

Isaiah 57:2Wale waendao kwa unyofu 2 huwa na amani; 2 hupata pumziko walalapo mautini. 1

Matthew 1:21Naye atamzaa mwana, nawe utamwita Jina lake Yesu, + 1:21 Yesu ni Iesous kwa Kiyunani, na kwa Kiebrania ni Yoshua au Yeshua. Maana yake ni Yehova ni wokovu. kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.”

Hebrews 3:11Hivyo nikatangaza kwa kiapo katika hasira yangu, 2 ‘Kamwe hawataingia rahani mwangu.’ ”

Hebrews 4:3Sasa sisi ambao tumeamini tunaingia katika ile raha, kama vile Mungu alivyosema, 1 “Kwa hiyo nikaapa katika hasira yangu, 1 ‘Kamwe hawataingia rahani mwangu.’ ” Lakini kazi yake ilikamilika tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

1 Peter 2:10Mwanzo ninyi mlikuwa si taifa, lakini sasa ninyi ni taifa la Mungu. Mwanzo mlikuwa hamjapata rehema, lakini sasa mmepata rehema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 4:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 4:8Hebrews 4Hebrews 4:10 →