Waebrania 6:12
ili msije mkawa wavivu, bali mpate kuwaiga wale ambao kwa imani na saburi hurithi zile ahadi. 1 Uhakika Wa Ahadi Ya Mungu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That ye be not slothful, but followers of them who through faith and patience inherit the promises.
In Context
Cross References
Proverbs 12:24Mikono yenye bidii itatawala, 2 bali uvivu huishia katika kazi za utumwa. 1
Proverbs 15:19Njia ya mvivu imezibwa na miiba, 2 bali njia ya mwenye haki ni barabara kuu. 1
Proverbs 24:30Nilipita karibu na shamba la mvivu, 2 karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili, 1
Song of Solomon 1:8Kama hujui, ewe mwanamke mzuri kuliko wote, 2 fuata nyayo za kondoo, 1 na kulisha wana-mbuzi wako 2 karibu na hema za wachungaji. Mpenzi 1
Matthew 22:32‘Mimi ni Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo’? Yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai.”
Luke 8:15Lakini zile mbegu zilizoanguka kwenye udongo mzuri ni mfano wa wale ambao hulisikia neno la Mungu na kulishika kwa moyo mnyofu wa utiifu, nao kwa kuvumilia kwingi huzaa matunda. 1 Mfano Wa Taa (Marko 4:21-25)