The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 7 › Waebrania 7:11

Waebrania 7:11

Kama ukamilifu ungeweza kupatikana kwa njia ya ukuhani wa Walawi (kwa kuwa katika msingi huo, sheria ilitolewa kwa watu), kwa nini basi imekuwepo haja ya kuja kuhani mwingine: kuhani kwa mfano wa Melkizedeki, wala si kwa mfano wa Aroni?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If therefore perfection were by the Levitical priesthood, (for under it the people received the law,) what further need was there that another priest should rise after the order of Melchisedec, and not be called after the order of Aaron?

In Context

10kwa sababu Melkizedeki alipokutana na Abrahamu, Lawi alikuwa bado katika viuno vya baba yake wa zamani. + 7:10 Yaani, alikuwa hajazaliwa. 1 Yesu Mfano Wa Melkizedeki

12Kwa kuwa yanapotokea mabadiliko ya ukuhani, pia lazima yawepo mabadiliko ya sheria.

Read all of Waebrania 7

Cross References

Galatians 4:3Vivyo hivyo na sisi, tulipokuwa bado watoto wadogo, tulikuwa utumwani chini ya taratibu za kawaida za ulimwengu.

Colossians 2:10nanyi mmepewa ukamilifu ndani ya Kristo, ambaye ndiye mkuu juu ya kila enzi na kila mamlaka.

Hebrews 5:10Naye amewekwa na Mungu kuwa Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki. 1 Wito Wa Kukua Kiroho

Hebrews 7:15Tena hayo tuliyosema yako wazi zaidi kama akitokea kuhani mwingine kama Melkizedeki,

Hebrews 7:21lakini Yesu alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mungu alimwambia: 1 “ Bwana ameapa 2 naye hatabadilisha mawazo yake: 1 ‘Wewe ni kuhani milele.’ ”

Hebrews 8:10Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli 2 baada ya siku zile, asema Bwana. 1 Nitaziweka sheria zangu katika nia zao 2 na kuziandika mioyoni mwao. 1 Nitakuwa Mungu wao, 2 nao watakuwa watu wangu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 7:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 7:10Waebrania 7Waebrania 7:12 →