The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 8 › Waebrania 8:10

Waebrania 8:10

Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli 2 baada ya siku zile, asema Bwana. 1 Nitaziweka sheria zangu katika nia zao 2 na kuziandika mioyoni mwao. 1 Nitakuwa Mungu wao, 2 nao watakuwa watu wangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For this is the covenant that I will make with the house of Israel after those days, saith the Lord; I will put my laws into their mind, and write them in their hearts: and I will be to them a God, and they shall be to me a people:

In Context

9Agano langu halitakuwa kama lile 2 nililofanya na baba zao 1 nilipowashika mkono 2 kuwaongoza watoke nchi ya Misri, 1 kwa sababu hawakuendelea kuwa waaminifu katika agano langu, 2 nami nikawaacha, 4 asema Bwana. 1

11Mtu hatamfundisha tena jirani yake, 2 wala mtu kumfundisha ndugu yake akisema, ‘Mjue Bwana,’ 1 kwa sababu wote watanijua mimi, 2 tangu aliye mdogo kabisa kwao, hadi aliye mkuu sana. 1

Read all of Waebrania 8

Cross References

Exodus 19:5Sasa kama mkinitii kikamilifu na kutunza Agano langu, basi ninyi mtakuwa mali yangu ya thamani kubwa miongoni mwa mataifa yote. Ijapokuwa dunia yote ni mali yangu,

Exodus 24:7Kisha akachukua kile Kitabu cha Agano na kuwasomea watu. Nao wakajibu, “Tutafanya kila kitu alichosema Bwana, nasi tutatii.”

Exodus 34:27Kisha Bwana akamwambia Mose, “Andika maneno haya, kwa maana kulingana na maneno haya, nimefanya Agano na wewe pamoja na Israeli.”

Song of Solomon 2:16Mpenzi wangu ni wangu, nami ni wake, 2 yeye hujilisha katikati ya yungiyungi. 1

Jeremiah 31:1“Wakati huo, nitakuwa Mungu wa koo zote za Israeli nao watakuwa watu wangu,” asema Bwana.

Jeremiah 32:38Watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 8:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 8:9Waebrania 8Waebrania 8:11 →