The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 7 › Hebrews 7:8

Hebrews 7:8

Kwa upande mmoja, sehemu ya kumi hupokelewa na wale ambao hupatikana na kufa; lakini kwa upande mwingine hupokelewa na yeye ambaye hushuhudiwa kuwa yu hai.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And here men that die receive tithes; but there he receiveth them, of whom it is witnessed that he liveth.

In Context

7Wala hakuna shaka kwamba mdogo hubarikiwa na aliye mkuu kumliko yeye.

9Mtu anaweza hata kusema kwamba Lawi, ambaye hupokea sehemu ya kumi, alitoa hiyo sehemu ya kumi kupitia kwa Abrahamu,

Read all of Hebrews 7

Cross References

John 11:25Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi

John 14:19Bado kitambo kidogo ulimwengu hautaniona tena, ila ninyi mtaniona, kwa kuwa mimi ni hai, ninyi nanyi mtakuwa hai.

Hebrews 5:6Pia mahali pengine asema, 1 “Wewe ni kuhani milele, 2 kwa mfano wa Melkizedeki.”

Hebrews 7:23Basi pamekuwepo na makuhani wengi wa aina hiyo, kwa kuwa kifo kiliwazuia kuendelea na huduma yao ya ukuhani.

Hebrews 9:27Kama vile mwanadamu alivyowekewa kufa mara moja tu na baada ya kufa akabili hukumu,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 7:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 7:7Hebrews 7Hebrews 7:9 →