The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 8 › Waebrania 8:11

Waebrania 8:11

Mtu hatamfundisha tena jirani yake, 2 wala mtu kumfundisha ndugu yake akisema, ‘Mjue Bwana,’ 1 kwa sababu wote watanijua mimi, 2 tangu aliye mdogo kabisa kwao, hadi aliye mkuu sana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they shall not teach every man his neighbour, and every man his brother, saying, Know the Lord: for all shall know me, from the least to the greatest.

In Context

10Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli 2 baada ya siku zile, asema Bwana. 1 Nitaziweka sheria zangu katika nia zao 2 na kuziandika mioyoni mwao. 1 Nitakuwa Mungu wao, 2 nao watakuwa watu wangu. 1

12Kwa sababu nitasamehe uovu wao, 2 wala sitazikumbuka dhambi zao tena!”

Read all of Waebrania 8

Cross References

1 Chronicles 28:9“Nawe Solomoni mwanangu, mjue Mungu wa baba yako, ukamtumikie kwa kujitoa kwa moyo wote na kwa nia ya kumkubali, kwa maana Bwana huuchunguza kila moyo na kujua kila kusudi la kila fikira. Ukimtafuta, ataonekana kwako; bali kama ukimwacha, yeye atakukataa milele.

Ezra 7:25Nawe Ezra, kufuatana na hekima ya Mungu wenu uliyo nayo, weka mahakimu na waamuzi wote wanaozifahamu sheria za Mungu wenu ili watoe haki kwa watu wote wa Ngʼambo ya Mto Frati. Nawe inakupasa umfundishe yeyote ambaye hazifahamu.

Isaiah 54:13Watoto wako wote watafundishwa na Bwana, 2 nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu. 1

Jeremiah 24:7nitawapa moyo wa kunifahamu mimi, kwamba mimi ndimi Bwana. Watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao, kwa maana watanirudia kwa moyo wao wote.

Jeremiah 42:1Ndipo maafisa wote wa jeshi, pamoja na Yohanani mwana wa Karea, na Yezania mwana wa Hoshaya, na watu wote kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana wakamjia

Jeremiah 44:12Nitawaondoa mabaki ya Yuda waliokusudia kwenda Misri kukaa humo. Wote wataangamia huko Misri, wataanguka kwa upanga au kufa kwa njaa. Kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana, watakufa kwa upanga au njaa. Watakuwa kitu cha kulaania na cha kutisha, cha laumu na shutumu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 8:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 8:10Waebrania 8Waebrania 8:12 →