The Bible Software
bible.softwareWaebraniaWaebrania 8 › Waebrania 8:12

Waebrania 8:12

Kwa sababu nitasamehe uovu wao, 2 wala sitazikumbuka dhambi zao tena!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For I will be merciful to their unrighteousness, and their sins and their iniquities will I remember no more.

In Context

11Mtu hatamfundisha tena jirani yake, 2 wala mtu kumfundisha ndugu yake akisema, ‘Mjue Bwana,’ 1 kwa sababu wote watanijua mimi, 2 tangu aliye mdogo kabisa kwao, hadi aliye mkuu sana. 1

13Kwa kuliita agano hili “jipya,” Mungu amefanya lile agano la kwanza kuwa kuukuu; nacho kitu kinachoanza kuchakaa na kuwa kikuukuu kiko karibu kutoweka.

Read all of Waebrania 8

Cross References

Psalms 65:3Tulipokuwa tumefunikwa kabisa na dhambi, 2 wewe ulisamehe makosa yetu. 1

Isaiah 44:22Nimeyafuta makosa yako kama wingu, 2 dhambi zako kama ukungu wa asubuhi. 1 Nirudie mimi, 2 kwa kuwa nimekukomboa wewe.” 1

Jeremiah 50:20Katika siku hizo, wakati huo,” 2 asema Bwana, 1 “uchunguzi utafanyika kwa ajili ya kosa la Israeli, 2 lakini halitakuwepo, 1 kwa ajili ya dhambi za Yuda, 2 lakini haitapatikana hata moja, 1 kwa kuwa nitawasamehe 2 mabaki nitakaowaacha. 1

Acts 13:38“Kwa hiyo ndugu zangu, nataka ninyi mjue kwamba kwa kupitia huyu Yesu msamaha wa dhambi unatangazwa kwenu.

Ephesians 1:7Ndani yake tunao ukombozi kwa njia ya damu yake, yaani, msamaha wa dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake

Hebrews 10:16“Hili ndilo Agano nitakalofanya nao 2 baada ya siku hizo, asema Bwana. 1 Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao, 2 na kuziandika katika nia zao.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 8:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 8:11Waebrania 8Waebrania 8:13 →